Learn English,Lesson 01(A) Parts Of Speech-Aina Za Maneno
Leo kwenye somo letu la kwanza la kiingereza tunaangalia aina za maneno,kwenye lugha yetu ya kiswahili tuna aina saba za maneno lakini kwenye kiingereza yapo aina nane za maneno nazo ni...
1;Noun-Nomino au jina
2;pronouns-viwakilish
3;verb-vitendo au vitenzi
4;adjectives-vivumishi/vitoa sifa
5;adverbs-vielezi
6;preposition-vihusishi
7;conjunctions-viunganishi
8;interjection-mshangao
Noun
noun refers to people,places,things etc-ni kwamba nomino ni jina linaloweza kupewa watu,sehemu,vitu na kadhalika hata mawazo huweza kupewa majina pia
Example:juma is a good boy
jina hapa ni juma
:dar es salaam is the best city
hapa dar es salaam ni jina na city ni jina yan dar es salaam ni jiji bora au zuri
Different tyes of nouns-aina mbalimbali za majina au nomino
1;proper noun
2;common noun
3;abstract noun
4;concrete noun
5;countable noun
6;uncountable noun
7;collective noun
8;compaund noun
proper noun
A proper noun is a word which refers only to a single person,place,or thing and there is no common name for it.In written English,a proper noun always begins with capital letters
proper noun ni jina sahihi analoitwa mtu mmoja,sehemu moja, au kitu kimoja,na hakuna majina ya mjumuisho.kwa kiingereza caha kuandika jina sahihi huanza na herufi kubwa.
example-mfano
Dar es salaam-ni jina la jiji moja hakuna pengine panapoitwa hivyo
Adamu-ni jina la mtu mmoja
Tanzania-hakuna nchi nyingine inaitwa Tanzania ni moja tu.
Stay Blessed See you at the other lessons

Maoni
Chapisha Maoni