Learn English-The Meaning Of The word jeopardize
Jeopardize-ni kitenzi yan (verb)
Neno linaweza kubadilika kutoka wakati ulipo hata kwa wakati mwinginge mfano
Presents-jeopardize
Past tense-jeopardized
Continues tense-jeopardizing
Kwa kiswahili neno jeopardize maana yake ni tia hatarini au hatarisha
Kuhatarisha kwa njia mbalimbali kwa hali mbali mhali kama kupata hasara,kuumiza au kufanya jambo kushindwa au mtu kushindwa
Kwa kiswahili kizuri ni KUHATARISHA.
Mfano kwa njia ya sentensi
1:His health has been jeopardized by poor nutrition
Kwa kiswahili:afya yake ilihatarishwa na mlo hafifu.
2:she knew that failing her exams could jeopardize her whole future.
Kswhl:alijua kwamba kushindwa mitihani yake kungeliweza kuhatarisha maisha yake yote ya baadaye

Maneno mengine yenye maana sawa na jeopardize ni
emperil,threaten,hard,risk,stake

Maoni
Chapisha Maoni