LEARN ENGLISH VOCABULARY-MSAMIATI

msamiatio au misamiati ni maneno magumu na ambayo hayaeleweki kwa urahisi zaidi yanayohitaji tafsiri au maelezo zaidi.kila mara tutakuwa tunaangalia maneno machache ambayo yatatusaidia kukuza lugha yetu
Leo tutayatizama maneno yafuatayo
1:Embezzlement-ubadhirifu au ufisadi(kwa kutamka kwa kiswahili ni embezoment)
2:Chat-kuzungumza
3:Schedule-ratiba(kwa matamshi ni shejo)



Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Learn English,Lesson 01(A) Parts Of Speech-Aina Za Maneno

Learn English-The Meaning Of The word jeopardize