Machapisho

LEARN ENGLISH VOCABULARY-MSAMIATI

Picha
msamiatio au misamiati ni maneno magumu na ambayo hayaeleweki kwa urahisi zaidi yanayohitaji tafsiri au maelezo zaidi.kila mara tutakuwa tunaangalia maneno machache ambayo yatatusaidia kukuza lugha yetu Leo tutayatizama maneno yafuatayo 1: Embezzlement -ubadhirifu au ufisadi(kwa kutamka kwa kiswahili ni embezoment) 2: Chat- kuzungumza 3: Schedule- ratiba(kwa matamshi ni shejo)

Learn English,Lesson 01(A) Parts Of Speech-Aina Za Maneno

Picha
    Leo kwenye somo letu la kwanza la kiingereza tunaangalia aina za maneno,kwenye lugha yetu ya kiswahili tuna aina saba za maneno lakini kwenye kiingereza yapo aina nane za maneno nazo ni... 1;Noun-Nomino au jina 2;pronouns-viwakilish 3;verb-vitendo au vitenzi 4;adjectives-vivumishi/vitoa sifa 5;adverbs-vielezi 6;preposition-vihusishi 7;conjunctions-viunganishi 8;interjection-mshangao Noun noun refers to people,places,things etc-ni kwamba nomino ni jina linaloweza kupewa watu,sehemu,vitu na kadhalika hata mawazo huweza kupewa majina pia Example : juma is a good boy               jina hapa ni juma              : dar es salaam is the best city               hapa dar es salaam ni jina na city ni jina yan dar es salaam ni jiji bora au zuri Different tyes of nouns-aina mbalimbali za majina au nomino 1;proper noun 2;common noun 3;abstract noun 4;concrete ...

Learn English-The Meaning Of The word jeopardize

Picha
Jeopardize-ni kitenzi yan (verb) Neno linaweza kubadilika kutoka wakati ulipo hata kwa wakati mwinginge mfano Presents-jeopardize Past tense-jeopardized Continues tense-jeopardizing Kwa kiswahili neno jeopardize maana yake ni tia hatarini au hatarisha Kuhatarisha kwa njia mbalimbali kwa hali mbali mhali kama kupata hasara,kuumiza au kufanya jambo kushindwa au mtu kushindwa Kwa kiswahili kizuri ni KUHATARISHA. Mfano kwa njia ya sentensi 1:His health has been jeopardized by poor nutrition    Kwa kiswahili:afya yake ilihatarishwa na mlo hafifu. 2:she knew that failing her exams could jeopardize her whole future. Kswhl:alijua kwamba kushindwa mitihani yake kungeliweza kuhatarisha maisha yake yote ya baadaye Maneno mengine yenye maana sawa na jeopardize ni emperil,threaten,hard,risk,stake